MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO NOVEMBA 10,2023.

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO NOVEMBA 10,2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 13 wa Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 13 wa Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe, kwenye viwanja vya Bunge jijini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 13 wa Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 13 wa Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe Askofu Dokta Benson Bagonza, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni Jijini Dodoma Novemba 10, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni Jijini Dodoma Novemba 10, 2023.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania, Padri Dkt.  Charles Kitima Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni Jijini Dodoma Novemba 10, 2023.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati  Dkt. Dotto Biteko na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama wakiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Vyama vya siasa vya Tanzania kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Novemba 10, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »