MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA DKT.NARDOS.

MAMA MARIAM MWINYI AKUTANA NA DKT.NARDOS.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mariam Mwinyi amekutana na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Wake wa Marais wa Afrika (Organization of African First Ladies for Development (OAFLAD) , Dkt. Nardos Berhanu Ofisini kwake Ikulu Migombani Mama Mariam Mwinyi ni Mwanachama wa Taasisi hiyo yenye lengo la

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mariam Mwinyi akizungumza na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Wake wa Marais wa Afrika (Organization of African First Ladies for Development (OAFLAD) , Dkt. Nardos Berhanu Ofisini kwake Ikulu Migombani.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mariam Mwinyi amekutana na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Wake wa Marais wa Afrika (Organization of African First Ladies for Development (OAFLAD) , Dkt. Nardos Berhanu Ofisini kwake Ikulu Migombani

Mama Mariam Mwinyi ni Mwanachama wa Taasisi hiyo yenye lengo la kujadili fursa na shughuli mbalimbali zinazoratibiwa kuwawezesha wake wa Marais kuwa viongozi bora na kusaidia kupata maendeleo katika nchi zao.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »