Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021.

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021 huku siku zinazofuata zikitarajiwa kuwa shwari hadi Januari 18. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo jana imesema kuwa utabiri huo wa siku tano kuanzia leo unaonyesha kuwepo kwa mvua kubwa katika baadhi


Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa itakayonyesha leo Ijumaa Januari 15, 2021 huku siku zinazofuata zikitarajiwa kuwa shwari hadi Januari 18.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo jana imesema kuwa utabiri huo wa siku tano kuanzia leo unaonyesha kuwepo kwa mvua kubwa katika baadhi ya maeneo na kutoa taadhari hasa wa kazi wa Mkoa wa Tabora, Singida, Dodoma, Ruvuma, Mahenge, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe huku uwezekano wa kutokea kwa utabiri huo ukiwa wa wastani.

Taarifa imeeleza kuwa athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »