Rais Dkt. Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa wanaodaiwa na Jeshi la Magereza kulipa madeni yao kabla hatua za kukatwa hela hizo na hazina hazijachukuliwa.

Rais Dkt. Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa wanaodaiwa na Jeshi la Magereza kulipa madeni yao kabla hatua za kukatwa hela hizo na hazina hazijachukuliwa.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazodaiwa na jeshi la magarereza nchini kulipa madeni yao kabla hatua za kukatwa hela hizo na hazina hazijachukuliwa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Makao Makuu mapya ya Jeshi la Magereza Msalato jijini Dodoma, Rais Magufuli amesema Taasisi zitakazo shindwa kulipa madeni yao

Kamishna Jenerali wa Magereza CGP. Suleiman M. Mzee.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametoa mwezi mmoja kwa Mashirika na Taasisi mbalimbali zinazodaiwa na jeshi la magarereza nchini kulipa madeni yao kabla hatua za kukatwa hela hizo na hazina hazijachukuliwa.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Makao Makuu mapya ya Jeshi la Magereza Msalato jijini Dodoma, Rais Magufuli amesema Taasisi zitakazo shindwa kulipa madeni yao atahakikisha wanazilipa kwa kukatwa kutoka hazina.

Rais Magufuli amemwelekeza Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP. Suleiman M. Mzee kupelekea orodha ya wadaiwa wote kwenye Wizara ya Fedha na hazina ili madeni hayo yaweze kukatwa na hazina.

Aidha Rais Magufuli amewashukuru sana uongozi mzima wa magereza kwa kubadilisha taswira ya magereza kwa kufanya kazi za ujenzi wa majengo ya magereza kwa ufanisi na kutangaza kufuta ndani ya moyo wake hali ya kutoshirikiana na magereza katika kufanya kazi mbalimbali nchini.

Kuhusu ununuzi wa sare za magereza,Rais Magufuli ameitaka magereza kununua vyereani na vitambaa kuwatumia wafungwa wenye fani ya ushonaji kushona wenye sare za magereza.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »