KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA ATEMBELEA TANZANIA

KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA ATEMBELEA TANZANIA

Na Barnabas kisengi Dodoma  February  16  2021 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Faustine Ndugulile amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa umoja  Posta Afrika lengo ni namna ya kuendelea kuimarisha sekta ya   Akizungumza  leo Februari  16,2021  jijini Dodoma Dkt.Ndugulile amebainisha  kuwa  hiyo ni katika kuboresha sekta ya Mawasiliano na sura mpya ya utendaji wa shirika la posta Tanzania. Waziri wa

Na Barnabas kisengi Dodoma 

February  16  2021

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Faustine Ndugulile amefanya mazungumzo na katibu mkuu wa umoja  Posta Afrika lengo ni namna ya kuendelea kuimarisha sekta ya 

 Akizungumza  leo Februari  16,2021  jijini Dodoma Dkt.Ndugulile amebainisha  kuwa  hiyo ni katika kuboresha sekta ya Mawasiliano na sura mpya ya utendaji wa shirika la posta Tanzania.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Faustine Ndugulile anabainisha mradi wa ujenzi wa makao makuu ya Umoja wa posta Afrika yaliyopo Jijini Arusha.

Kwa upande wake Katibu mkuu wa Umoja wa Posta Afrika Younouss Djibrine  anaeleza kufurahishwa kwake na kasi ya Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt.John Pombe Magufuli katika kusukuma  gurudumu la maendeleo kupitia Sera ya hapa kazi tu .

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »