HOSPITALI YA AGA KHAN KUCHUNGUZWA .

HOSPITALI YA AGA KHAN KUCHUNGUZWA .

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linafanta uchunguzi wa malalamiko ya wananchi kutozwa gharama kubwa za matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya nimonia yanayosababisha kushindwa kupumua vizuri katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linafanta uchunguzi wa malalamiko ya wananchi kutozwa gharama kubwa za matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya nimonia yanayosababisha kushindwa kupumua vizuri katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema wananchi pia wamelalamika kutozwa gharama kubwa pindi wagonjwa wao wanapofariki hali inayopelekea miili ya wapendwa wao kuzuiliwa hospiitalini hapo kitendo ambacho ni kinyume na maelekezo ya seriklai kyuhusu gharama za matibabu.

Kamanda mambosasa amesema tayari wamefungu jaerada kuhusiana na malalamiko hayo na uchunguzi unaendelea kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto dhidi ya Hospitali hiyo.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »