Wabunge wa majimbo ya Kigoma walia na ufinyu wa bajeti ya TARURA.

Wabunge wa majimbo ya Kigoma walia na ufinyu wa bajeti ya TARURA.

WABUNGE wa majimbo ya mkoani Kagera wadai ufinyu wa bajeti wa Mamlaka ya Barabara vijijini (Tarura) umesababisha kushindwa kutekeleza majukumu wake kwa ufasaha. Wabunge hao wameiomba serikali kubuni vyanzo vingine zya mapato vitakavyoiongezea Tarura fedha za kuongeza mtandano wa barabara. NA NYEMO MALECELA – KAGERA

Mhandisi Ezra  – Mbunge jimbo la Biharamlo.
Charles Mwijage – Mbunge wa jimbo la Muleba Kaskazini
Jason Rweikiza – Mbunge wa jimbo la Bukoba Vijijini
Dk Oscar Kikoyo – Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini.

WABUNGE wa majimbo ya mkoani Kagera wadai ufinyu wa bajeti wa Mamlaka ya Barabara vijijini (Tarura) umesababisha kushindwa kutekeleza majukumu wake kwa ufasaha.

Wabunge hao wameiomba serikali kubuni vyanzo vingine zya mapato vitakavyoiongezea Tarura fedha za kuongeza mtandano wa barabara.

NA NYEMO MALECELA – KAGERA

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »