KIPIGO CHA YANGA PRINCESS CHAIVURUGA UONGOZI YANGA

KIPIGO CHA YANGA PRINCESS CHAIVURUGA UONGOZI YANGA

Ligi kuu ya wanawake imeendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa uhuru jijin Dar es salam, Mchezo huo umemalizika kwa simba Queens kuibuka na ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri. matokeo hayo yameendeleza sintofahamu katika uongozi wa klabu hiyo mara baada ya jana yanga sc ile ya wanaume kupokea kipigo cha magoli

Ligi kuu ya wanawake imeendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa uhuru jijin Dar es salam, Mchezo huo umemalizika kwa simba Queens kuibuka na ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri.

matokeo hayo yameendeleza sintofahamu katika uongozi wa klabu hiyo mara baada ya jana yanga sc ile ya wanaume kupokea kipigo cha magoli mawili kwa moja dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union ya Tanga

Huo unakuwa muendelezo wa kukata tamaa ya kutwaa ubingwa kwa pande zote mbili yaani kwenye ligi ya wanawake na wanaume kutokana na watani wao wa jadi Simba kuwashusha kileleni mwa msimamo wa ligi ya wanawake Yanga Princess huku pia katika ligi kuu ya wanaume simba ikiwa karibu zaidi kushika usukani wa ligi hiyo.

kulingana na matokeo hayo yanga inaweza kumaliza msimu huu bila kikombe chochote endapo haitapanga karata zake sawa kwa michezo iliyobaki

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »