BUKOBA: DC AAGIZA MITEGO YA RADI KUWEKWA MASHULENI

BUKOBA: DC AAGIZA MITEGO YA RADI KUWEKWA MASHULENI

NA NYEMO MALECELA – KAGERA MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba, Solomon Kimilike kuweka mitego ya radi kwenye shule za msingi, sekondari na ofisi za Taasisi za Umma ili kuepusha kupoteza maisha ya wanafunzi wengi. Kauli hiyo imetolewa na Kinawilo kwenye kikao cha baraza la madiwani la kipindi

NA NYEMO MALECELA – KAGERA

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba, Solomon Kimilike kuweka mitego ya radi kwenye shule za msingi, sekondari na ofisi za Taasisi za Umma ili kuepusha kupoteza maisha ya wanafunzi wengi.

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo

Kauli hiyo imetolewa na Kinawilo kwenye kikao cha baraza la madiwani la kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021 la Halmashauri ya Bukoba kufuatia kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabugaro, Gisera Osward ambaye alipigwa radi wiki iliyopita.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »