PICHA MBALIMBALI WAKATI Mhe. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE APRILI 22, 2021

PICHA MBALIMBALI WAKATI Mhe. RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE APRILI 22, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge kutoa mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mara baada ya kulihutubia Bunge Aprili 22, 2021 Jijini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Bunge kutoa mwelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mara baada ya kulihutubia Bunge Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mara baada ya kulihutubia Bunge Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma. Wa pili kushoti ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi, wa pili kushoti ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wa kwanza Kushoto ni Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango na wa kwanza kulia ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt Hussein Mwinyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na Usalama mara baada ya kulihutubia Bunge Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (Kulia) mara baada ya kulihutubia Bunge Aprili 22, 2021 Jijini Dodoma.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »