Watu wawili waliopata msamaha wa rais na kutoka gerezani wameuwawa na wananchi baada ya kujaribu kuiba.

Watu wawili waliotoka gerezani kwa Msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wamejaribu kuiba ambapo wananchi wenye hasiri kali wamewashambulia hadi kupelekea umauti wao wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »