Mhe.Hemed ameshiriki kwenye kisomo cha hitima ya marehemu Mohamed Raza.

Mhe.Hemed ameshiriki kwenye kisomo cha hitima ya marehemu Mohamed Raza.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi mbali mbali, Wanafamilia na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Kisomo cha Khitima cha kumuombea aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Mdau wa Michezo na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Marehemu Mohamed Raza Hassanali Iliyofanyika Masjid Maghfira Mchangani Mjini Zanzibar. Imetolewa na Kitengo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi mbali mbali, Wanafamilia na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Kisomo cha Khitima cha kumuombea aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, Mdau wa Michezo na Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Marehemu Mohamed Raza Hassanali Iliyofanyika Masjid Maghfira Mchangani Mjini Zanzibar.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
23 Juni, 2023

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »